Wednesday, April 10, 2013

KIM KARDASHIAN'S KUMUUMBUA MUMEWE

Nyota wa vipindi vya televisheni kutoka marekani mwanadada Kim Kardashians'

akusudia kumuumbua mumewe Kris Humphries baada ya kufanya jaribio la kutaka kuachana nae na kushindika .

Mume wa mwanadada huyo alikataa kutotambua makubaliano waliyowekeana kabla ya kufunga ndoa na kuwa mume na mke lakini kwa mujibu wa Kim Kardashian's alisema kuwa mumewe huyo alikuwa akitambua kuwa walisha wekeana makubaliano kabla ya kufunga ndoa hiyo.

Baada ya sakata hilo mwadada Kim ametaja list ya mashahidi waliokuwepo wakati wa kutia saini makubalino ya awali kati ya wawili hao kuwa ni mama yake mwenye miaka 32,Kris Jenner,mameneja wawili,mwanasheria mmoja,na mwakilishi wa mahakama ambao walishuhudia makubalino hayo ya wali kabla ya ndoa.

Kwa mujibu wa utaratibu watu hao sita wataitwa kuonesha kuwa kweli star huyo wa NBA kuwa alishirikishwa vilivyo katika makubaliano hayo ya awali kati ya wapenzi hao.

MS.Kardashian atakuwepo akiwakilisha katika Tuzo za MTV Movie zitakazo fanyika siku ya Jumapili ya Tarehe 14 mwezi 04











0 comments:

Post a Comment