1.PUNDA
(Aries):
•Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji,
Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha.
2.NG’OMBE
(Taurus):
•Muziki, Kazi zinazohusiana na chakula (Hoteli),
Ujenzi, Kazi za Mashamba, Uhasibu, Sanaa (Uchoraji na
Uchongaji).
3.MAPACHA (Gemini):
•Utangazaji, Uchapishaji,
Ualimu, Ushauri, Ufasiri, Biashara ya Kusafiri.
4.KAA
(Cancer):
•Madawa, Kazi za Baharini, Kazi za Upishi, Kazi za
Kuhudumia Watoto, Kazi za Benki, Kazi za Usimamizi (Foreman), Kazi za
Uandishi.
5. SIMBA (Leo):
• Kazi za Usimamizi, Michezo,
Kazi za Usonara, Mwanamitindo, Kucheza Sinema, Kazi zinazohusiana na
Masuala ya Vijana, Ualimu.
6.MASHUKE (Virgo):
•Kazi za
Uchapishaji, Uongozi, Elimu, Afya, Biashara, Ukatibu Mukhtasi
(Secretary).
7.MIZANI (Libra):
•Kazi za Uhusiano wa
Jamii, Ushauri wa Ndoa, Biashara ya Sanaa, Ushauri wa Mambo ya
Urembo, Uanasheria, Uhakimu.
8.NGE (Scorpio):
•Kazi za
Madawa, Kazi za Upelelezi, Wachunguzi (Researcher), Mafundi Bomba,
Kazi za Historia inayohusiana na Mabaki ya Viumbe (Archeology),
Ushauri wa Mambo ya Ngono (Sex Therapy).
9.MSHALE
(Saggitarius):
•Kazi za Kusafiri, Kazi za Sheria, Uandishi,
Ualimu, Dini, Michezo, Jeshi, Uuzaji.
10.MBUZI
(Capricorn):
•Kazi za Uinjinia, Uchoraji wa Ramani za Majumba,
Saveya, Kazi za Serikali, Siasa na Udaktari wa Meno.
11.NDOO
(Aquarius):
•Fundi Umeme, Computer, Uchunguzi wa Kisayansi, Kazi
za Jamii, Kazi za Unajimu, Kazi za Mazingira.
12.SAMAKI
(Pisces):
•Unesi, Muziki, Dansi, Uigizaji, Askari wa Majini,
Kazi za Kidini, Kupiga Chapa, Kazi za kutoa Ushauri.
Imeandaliwa
na Mtabiri Maalim
Hassan
0 comments:
Post a Comment