Wafausi zaidi ya
hamsini wa sheikh Ponda Issa Ponda waliohukumiwa kifungo cha kwenda jera mwaka
mmoja mmoja wamekusudia kukata rufaa kupinga hukumu hiyo iliyotolewa dhidi yao.
Wakili mohamed Tuibandela aliekuwa akiwatete wafuasi
hao ameyasema hayo jana wakati akifanya mpango wa kupeleka taarifa za kukata
rufaa dhidi ya wateja wake hao walio hukumiwa kifungo cha mwaka mmoja mmoja.
Wafuasi hao
walihukumiwa kifungo hicho kufuatia kukiuka amri ya polisi iliyotolewa kupinga
watu kuandamana.






0 comments:
Post a Comment