![]() |
| ZZITO ZUBERI KABWE |
TaifaStars ninyi ndio tumaini letu kubwa
wakati huu nchi yetu imejaa changamoto nyingi na kukata tamaa.
Wakati Umoja wa Taifa upo mashakani,
ninyi mnatufanya tuvae na kupeperusha Bendera yetu nzuri ya Taifa.
Dakika tisini uwanjani Tanzania inakuwa
moja, ushindi hutupa fahari kubwa na kusahau vyama vyetu, Dini zetu, madaraja
ya Maisha nk.
Ingieni uwanjani Kwa ufahari mkubwa. Tupeni
raha #TaifaStars #TZBrazil2014







0 comments:
Post a Comment