Saturday, March 23, 2013

RAISI WA CHINA KUINGIA LEO NCHINI


Raisi wa China XI Jinping anaingia leo nchini Tanzania na hii ni ziara yake ya kwanza Barani Africa tangu achaguliwe kuwa Raisi wa Jamhuri ya China.

Raisi huyo anategemea kuhutubia Dunia akiwa Nchini Tanzania juu ya sera ya Serikali ya Jamhuri ya China kuhusu Tanzania na Afrika kiujumla.

0 comments:

Post a Comment