Aliekuwa waziri wa
Tanzania Mh LOWASSA ametoa darasa kwa wanafunzi kuwa waangalie sana na matumizi
ya computer na mitandao mbalimbali kwani ni vitu vilivyo na mchango mzuri kama
vitatumiwa vizuri katika elimu zao lakini kama havita tumiwa vizuri vina athari
kubwa sanaa katika kuharibu maadili na maendeleo ya mtoto.
Hivyo amewataka
wanafunzi wote kuwa makini na matumizi ya computer na mitando ya kijamiii
nchini,hii imefuatia kutopendezwa na matokeo ya wanafuzni mwaka huu,vilevile
akilinganisha baadhi ya mambo ambayo kamati iliyoundwa kuchunguza sababu za
wanafunzi wengi kuferi kwa mwaka huu kuwa matumizi ya mitandao na computer
yamechangia katika baadhi ya maeneo hususani jumapili.






0 comments:
Post a Comment