Tamasha
la wakongwe wa wanamuziki wanaoimba nyimbo za injiri kufanyika jumapili hii
katika ukumbi wa diamond jubilee litakalo anza kuanzia saa nane za mchana.
Na wasanii
wakongwe watakao kuwepo katika tamasha hilo ni pamoja na Nunu na Mumewe Donice
Nkone,Upenso Kilariho,joge Jabiri,New life Band,Pasror Safari,John Shabani,
Tamasha
hili limelenga kutambua mchango mkubwa ulifanywa na waimbaji hawa wakongwe
katika muziki wa injiri hivyo litaendana na kutunukiwa tuzo za heshima kwa
waimbaji hao wakongwe kutokana na mchango wao.






0 comments:
Post a Comment