Uchaguzi
wa viongozi wa Chama cha makocha wa mpira wa miguu Tanzania utafanyanyika
jumamosi hii wajumbe wanaogombea nafasi
mbalimbali wameombwa kufika siku moja kabla ya uchaguzi.
Wagombea
waliopitishwa kugombea nafasi za uongozi na kamati ya uchaguzi ya TAFCA ni Oscar Don Koroso (Mwenyekiti), Lister Manyara(Makamu
Mwenyekiti) na Michael Bundala(Katibu).
Kwa mujibu
wa Ramadhan Mambosasa amesema Gabriel Gunda amegombea nafasi ya Katibu
Msaidizi,Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzani-TFF ni
Wilfred Kidao na waogombea ujumbe wa kamati ya utendaji ni Jemedali
Saidi,George Komba na Mogoma Rugora.






0 comments:
Post a Comment