Baraza
la wauguzi limekusudia kufanya tafrija ya kutimiza miaka sitini toka kuanzishwa
kwake mwezi wa tatu mwaka 1953 hapa
nchini .
Tafrija
hiyo itawapa nafasi wauguzi na wakunga kutoka sehemu mbalimbali kuangalia
maendeleo ya elimu ya uuguzi na ukunga nchini ukilinganisha na milongo sita
iliyopita vilevile wataangalia njia na namna nyingine ya kuboresha huduma hiyo.
Moja
ya vitu watakavyofanya katika kusheherekea miaka sitini ya TNMC kutakuwa na
mkutano wa scientific utakaofanyika kuanzia Tarehe 16 mwezi wa Tatu mpaka -19
Mwezi wa Tatu,utakao fanyika Dar es
salaam-Tanzania.






0 comments:
Post a Comment