Ligu
kuu Bara inaendelea jumamosi hii katika viwanja vitatu tofauti Dar es
salaam,Mwanza na Morogoro.
Yanga
wataumana na Ruvu shooting katika uwanja wa Taifa Dar es salaam wakati Toto African’s itakutana
na Mgambo shooting katika uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza na Mtibwa Sugar
itavaana na Coastal Union katika kiwanja
cha manungu huko Tuliani Morogoro.






0 comments:
Post a Comment