Thursday, March 14, 2013

JIMBO LA ILALA LAANDA MBIO ZA NUSU MARATHONI JUMAPILI HII



MUSSA ZUNGU
Mbunge wa jimbo la Ilala Mussa Zungu amesema jimbo la ilala limeandaa mbio za nusu marathoni kwa ajiri ya vijana wa jimbo hilo wenye lengo la kuwakutanisha na kubadilishana mawazo mbalimbali.

Zungu amesema kuwa washiriki kutoka majimbo mengine wanaweza kuungana na wenzao wa ilala katika mbio hizo zitakazo fanyika jumapili hii.




0 comments:

Post a Comment