![]() |
| WACHEZAJI SHOW TWANGA PEPETA |
Warembo
ishirini na sita kutoka viunga mbalimbali vya Tabata watachuana na kugombea
taji la Miss Tabata usiku wa Jumapili ya pasaka katika ukumbi wa Dar West park
TABATA.
Washindi
watano wa juu katika shindano hilo watashiriki Miss Ilala baadae,katika usiku
huo Band ya Twanga Pepeta watafunga kwa kutoa burudani katika viwanja hivyo.







0 comments:
Post a Comment