Wednesday, March 27, 2013

MATUMIZI YA LESENI MWISHO MARCH


Matumizi ya lesseni za zamani kwa madereva zinafika kikomo mwisho wa mwezi huu hapa siku ya Jumapili 31 March.

Mamlaka ya mapato Tanzania kushirikiana na jeshi la polisi  imewataka madereva kubadili aina ya leseni zao kote nchini  kabla ya siku ya jumapili 31 march .

Kwa pamoja TRA na jeshi la polisi walianza mchakato wa kubadili leseni za madereva na kwenda katika mfumo wa digital lengo kuu lilikuwa ni kuboresha na kupunguza lesseni za kughushi zilizopo mitaani kwa madereva.

0 comments:

Post a Comment