Wednesday, March 27, 2013

FAINALI ZA TAIFA MISS UTALII KUFANYIKA JUMAMOSI



Fainali za Taifa za mashindano ya Miss Utalii Tanzania zitafanyika siku ya Jumamosi ya 30 March katika ukumbi utakaotangazwa baadae .

Shindano hilo lilipaswa kufanyika Tarehe 17 March 2013 katika ukumbi wa Dar Live lakini hayakufainkiwa kutokana na kukwama kiuwezo kwa waandaaji ya shughuli hiyo kwa madai yao ni zaidi ya millioni mia moja imepungua katika kufanikisha zoezi hilo.



0 comments:

Post a Comment