Msanii
Sajna alietamba na kibao cha Iveta amesema kuwa hatafanya show yoyote ile
musoma siku ya pasaka tarehe 31 March ambayo imeandaliwa na mapromota feki.
Nasema
ni mapromota Feki kwa sababu sijakubalina nao kufanya show yoyote ile lakini
wao wameshabandika matangazo kuonesha kuwa nitakuwepo katik a show hizo hivyo
kwa kuwa wamefanya kinyume na utaratibu nawapa taarifa mashabiki wangu kuwa
sitafanya show hiyo siku ya pasaka huko musoma .







0 comments:
Post a Comment