![]() |
| JAKAYA KIKWETE |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakutana na Mbunge wa ubungo Mh:John Mnyika Jumatatu hii ikulu pamoja na Viongozi
wa mamlaka za maji kujadili tatizo la maji katika jimbo la ubungo na Dar es
salaam kwa ujumla.
Maamuzi
hayo yamefuatia kutokana na Raisi kutembelea jimbo la ubungo hivi karibuni na
kujionea matatizo makubwa yanalolikabili jimbola ubungo na jiji la Dar es
salaam kiujumla.
Jakaya
alipowahoji watendaji wa mamlaka hizo
walikosa majibu juu ya maswali hayo.
hivyo
Raisi alijionea picha kuwa taarifa
alizonazo kutoka katika mamlaka husika ni tofauti na uhalisia uliopo katika
jimbo hilo.
hivyo
alitoa agizo na kuomba wakutane siku ya jumatatu ikulu ili aweze kujuwa matatizo
ya maji yaliyopo katik jiji la Dar es salaam.







0 comments:
Post a Comment