Friday, March 22, 2013

AUNT EZEKIEL KUIBUKIA MAHAKAMA YA MAPENZI

AUNT EZEKIEL

 Msanii nguli wa filamu nchini Aunt Ezekiel aliepotea machoni mwa watu wengi tangu kuwa mke wa mtu na kuanza kuishi kama mke wa mtu,jumapili hii ataibukia viwanja vya Maisha club katika uzinduzi wa MAHAKAMA YA MAPENZI.

MAHAKAMA YA MAPENZI ni album ya kwanza kutoka kw a msani LINEX linenga itakayo zinduliwa usiku wa jumapili hii hivyo AUNT EZEKIEL atakuwa MC katika uzinduzi huo.

0 comments:

Post a Comment