Friday, March 22, 2013

P SGUARE WATOA WIMBO MPYA


 Mapacha mawili kutoka nchini Nigeria waliotamba ha ngoma Hits kibao Mpaka kutoboa wigo na kufanya kazi na Artist kutoka Marekani  Psguare wameachia ngoma yao mpya inayoitwa UNLIMITED  wamemshirikisha Baja.

Ngoma mpya ya P SGUARE Imekuja baada ya beautiful Onyenye na ALINGO  kufanya poa sanaa ulimwenguni .


0 comments:

Post a Comment