ya kijamii.Linex amekanusha uzushi huo leo kupitia ukurasa wake wa Facebook na katika kipindi cha Power Jam ya East Africa Radio.
Mjeda amekili wazi kuwa aliefanya kazi ya kusambaza uzushi huo amesababibisha atofautiane na familia yake,ndugu jamaa na marafiki.
“Daaah Uzushi ulioenezwa na baadhi ya blog miyeyusho umesababisha Umenitofautisha na familia yangu ndugu jamaa na marafiki wish kama Mungu awafunue ndugu jamaa marafiki washabiki wangu waujue ukweli bado naendelea kupokea cm nyingi za maswali japo nilishaongea b4 kwamba sina mahusiano na Masogange daaaaah”
kwa mujibu wa Linex amekili wazi kuwa siku ya Valentine alikutana na masongange hivyo alipata nafasi ya kupiga nae picha mbalimbali ambazo zilionekana katika mitandao ya kijamii,na siku ya pili wawili hao walikuwa pamoja maeneo ya beach ambako ndipo watu wakahisi wawili hao kutoka pamoja kama wapenzi.
0 comments:
Post a Comment