![]() |
| AYO |
Mtangazaji wa Kituo cha Redio ya watu Clouds
fm anaetangaza kipindi cha Amplifier Millard Ayo amefunguka katika ukurasa wake
wa facebook na kuandika shukrani zake kwa watu waliotizama interview aliyofanya
katika Kipindi cha MKASI kirushwacho na TINGA namba moja kwa vijana CHANNEL
FIVE.
AYO katoa
shukrani hizo baada ya kufikisha jumla ya watu 17,204 kati ya watu waliotizama interview hiyo
iliyowekwa kwenye mtandao wiki mbili zilizopita
na kutizamwa mara hizo na wale Fans wake ambae yeye huwaita watu wake wa
nguvu.







0 comments:
Post a Comment