Msanii wa Hip Hop alietamba
na hits kibao katika tasnia ya muziki wa hip hop nchini kutokea green city
mbeya Izzo Bussiness amefunguka kwa kuwatia nguvu na kuwapa moyo vijana
wanakwensda kutafuta maisha na kuwa wasiogope changamoto katika utafutaji.
Bussiness amesema hayo kuwa
yeye mwenyewe alikuja Dar na hakuwa na sehemu ya kukaa yaani sehemu aliweza
kuwa huru nayo kama kwakwe lakini baada ya kupigana na changamoto alizokuwa
akikabiliana nazo hatimae alipata kwake na kuendelea ma maisha ya hapa mjini na
muziki wake huku ukikuwa sik7u hadi siku kutokana na uwezo wake kisanii.
Hayo amenena bussiness kuwa
ndio yaliyokuwa yakimkabili lakini kwa sasa mambo yanakwenda poa lakini
kutokana na hali hiyo ilibidi andike mistari itakayo wahasa na kuwatia nguvu
watu wengine,






0 comments:
Post a Comment