Thursday, March 28, 2013

MBUNGE AFARIKI DUNIA


Mbunge wa Chambani Salim Hemed Khamis,alie anguka jana akiwa katika VIKAO vya  kamati za bunge amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .Taratibu za kuusafirisha mwili kuelekea Pemba kwa mazishi zinafanyika.

0 comments:

Post a Comment