Waziri wa viwanda na
Biashara MH Abdallah Kigoda amekatisha mkutano kwa muda kufuatia kuzomewa na
kupigiwa makelele na wananchi wa Mtwara Katika mkutano uliokuwa ukifanyika katika
uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara.
Waziri huyo ameanza kuzomewa
mfululizo na wananchi hao baada ya kuona kuwa wanapewa propaganda juu ya GAS .
Lakini hata hivyo Waziri
anaendelea kuhutubia mkutano huo akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi hata
hivyo Wananchi haowanaendelea kuzomea na kumpigia kelele bila kuogopa uwepo wa
Polisi katika Uwanja huo.






0 comments:
Post a Comment