Saturday, January 12, 2013

LIGI YA JEZI KIVUMBI TABATA




Na Kitalima Gerald 

MRATIBU wa Ligi Tabata Super Cup Rodgers Peter Amesema ligi ya Jezi inaendelea kutimua kivumbi katika viwanja vya Tabata Shule Ambapo kwa sasa wapo Katika Mzunguko wa mtoano.

Akizungumza na Mpita Njia Rodgers Amesema kuwa mshindi wa Kwanza atapata Jezi fulu pea Nne,Mshindi wa Pili atapata Jezi peaTatu fulu na Mshindi wa Tatu atapata Jezi Pea Mbili Fulu

0 comments:

Post a Comment