Thursday, July 25, 2013

USAILI WA BONGO STAR SEARCH DAR NI KESHO JIPANGEEEEE KJNAA


Ule wakati wa vijana wa kitanzania waliopo dar kuweza kuonesha vipaji vyao mbele ya majaji wa Bongo star Search umeshafika.

Kwa mujibu wa Epiq Bong Star Search wamesema kuwa usaili utafanyika katika Uwanja cha Taifa jijini Dar es salaam na wamewasisitiza washiriki kuweza kuwahi ili kuepuka foleni kutokana na ukweli kwamba miaka yote Dar huwa inakuwa na washiriki wengi.
Usaili unaanza kesho Dar es salaam kuanzia asubuhi. Fika mapema kadri uwezavyo kupeuka foleni. Usaili utafanyika Uwanja wa Taifa.”

Kumbuka: Ili uweze kushiriki unapaswa kuwa na "Laini ya simu ya Zantel" ili uweze kufanya usajili kwa ajili ya usaili. Tumia laini yako ya Zantel kutuma neno "KAMUA" kwenda "15530" kisha fuata maelekezo.

0 comments:

Post a Comment