1:15 AM
Ningekuwa na
uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na
siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi
ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is
dat wat u
want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi
nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya
mtoto?゚リ゙?...
Kumbukeni na
mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda
kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa
kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani
mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea
wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa
unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu... Kwani kuna niliemkosea
yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna
hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali...
Hata mimi
natamani kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So
mnadhani sijui kama umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi
anytime we die... Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu
siku ndo Mungu anasema ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa
napiga picha niko na mwanangu... I want dat with all my life but I
cant.... Sitokaa nimkufuru Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni
kitu gani kaniandikia... But just dont rub it in... It hurts... And
im jus a human being like each and everyone of u.... ?
0 comments:
Post a Comment