Msanii
Izzo Biashara ambae anaiwakirisha Mbeya katika muziki wa Bongo Fleva
siku ya Jumapili ya Tarehe 23.02 atatambulisha wimbo wake mpya
unaokwenda kwa jina la Tummoghele katika ukumbi wa Club 71 Kibo
Complex pande za Tegeta.
Msanii
Izzo B atasindikizwa na wakali kibao wakimemo Quick
Racka,Barnaba,Shaa,Mirror,Gosby,Roma pamoja na Recho wa upepo wakali
wote hawa watamsindikiza Izzo B na kiingilio itakuwa itakuwa na
shilingi elfu sita tu.
0 comments:
Post a Comment