Wakali
wa Muziki kutoka Kaskazini mwa Tanzania nawazungumzia WEUSI KAMPUNI
wakiwa na Mwamba wao JOH Makini wamepania kufanya mambo
makubwa Mbeya
usiku wa Ijumaa Tarehe 13.12.2013 katika Pub City kwa kiingilio cha
Buku 5.
Weusi
ni kundi ambalo kwa Mwaka 2013 wameweza kuudhirishia Umma kuwa wao ni
wakali wa Floo na kucheza na jukwaa kwani kila walipopata nafasi ya
kufanya Show walionesha Uwezo wao mkubwa wa kucheza na Mashabiki na
kwenda nao pamoja.
Wakali
hao wanataka kushare Ujuzi huo na wana kutoka Mbeya huku
wakisindikizwa na Wakali wa RNB Tanzania Ben Paul na Damian Soul.








0 comments:
Post a Comment