Manchester
United timu ambayo ipo katika wakati mgumu baada ya kukubali vipigo
mara kwa mara na kusababisha timu giyo kuanza kupata lawama nyingi
huku zikielekezwa kwa Kocha wa Kikosi hicho,kutokana na mazingira
hayo kikosi hicho kinapitia magumu mengi kwa sasa lakini kwa kuwa leo
kuna Misa ya kumuaga Rais Mstaafu Marehemu Nelson Mandela Kikosi
hicho kimeandika Ujumbe Mfupi ambo ni huu hapa.
Our
thoughts turn to South Africa this morning, as a memorial service is
held in Johannesburg for the late Nelson Mandela.
Fikra
zetu zinaelekea Afrika ya kusini asubuhi hii ambako kutakuwa na Misa
ya Kumuombea na kumsalia Marehemu Nelson Mandela,ambayo itafanyika
Mjini Johannesburg.







0 comments:
Post a Comment