Mwanadada
Jokate alimaarufu kama KIDOTI leo amefunguka na kuonesha moja ya njia
ya mafanikio kwa mtu yoyote yule kuwa ni Unadhifu vijana wa sasa
wanapenda kuitana Masharobaro kwa wakiume huku wa Kike wanapenda
kuitana Masister du kama si warembo.
Mwadada
Jokate alianza kwa kuwapa Big Up watu wote ambao kilasiku ifikapo
asubuhi kabla ya kuchomoka na kwenda katika mishe zao lazima wapte
katika Vioo vyao kujicheki kama wapo okayy na si kukurupuka tu kama
umefunamiwa.
“Unadhifu:
Shout out kwa wapendwa wote wanaojiangalia kwenye vioo kabla
hawajatoka kwenda masomoni /makazini”
Hakuishia
hapo alibidi aongeze ongezee kitu ambacho pengine hata yeye
kimemsaidia kufika hapo alipo sasa katika mafanikio yake,maana kila
umuonapo siku zote na wakati wote huwa safii hivyo amekili wazi Usafi
wake ni Silaha ya Mafanikio yake ya sasa.
“Unadhifu
ni moja kati ya silaha za kupata mafanikio.”







0 comments:
Post a Comment