Monday, December 16, 2013

HUYU NDIYE KOCHA ATIMULIWA KAZI BAADA YA TIMU YAKE KUPOKEA KICHAPO

Uongozi wa Klabu ya Tottenham, Umemtimuwa kazi Kocha Andre Villas-Boas leo baada ya timu hiyo kufungwa mabao 5-0 katika mechi ya jana dhidi ya Liverpool
kwenye Uwanja wa White Hart Lane.

0 comments:

Post a Comment