Monday, December 16, 2013

MAPACHA WAMCHANGANYA DIAMOND PLATNUM

Alishawahi kuimba Mwanamuziki Soggy Dogy Kuwa ampende yupi kati yao na amuoe yupi kati yao maana wote ni sawa Hawa walikuwa ni Mapacha
waliomchanganya Soggy Miaka hiyo ya Nyuma lakini juzi kati Mtu mzima Diamond Platnum amekutana na Kisanga hicho baada ya Kukutana na warembo ambao ni mapacha na aliweza kupiga nao stori pasipo kujua yupi ni yupi mpaka wenyewe walipojitambulisha vizuri kwake.

Tizama Video hii ujioneee mwenyewe Mapacha hawa walivyomchanganya DiamondPlatnum.

0 comments:

Post a Comment