Tuesday, December 10, 2013

PICHA TANO ZA NEY WA MITEGO AKIJIACHIA NA WAREMBO ALIPOKUWA KENYA

Mtoto wa Manzese akiula ujana na warembo kutoka Kenya
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ambaye anafahamika kama True Boy amefungua ukurasa mpya kwa kutoa picha zake alipokuwa Kenya wiki
kadhaa zilipopita katika Mchakato wa Kula Ujana kama ambavyo Single yake inavyokwenda.
 
Tazama Picha mbalimbali Namna NEY wa Mitego alivyokuwa akifanya mchakato wa utengenezaji wa Video ya Naula Ujana


0 comments:

Post a Comment