Thursday, December 19, 2013

KUIPENDA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI SIO UZALENDO-PETER MSINGWA

Mchungaji Peter Msingwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amefunguka na kutoa Quatation ya Mwaka 2013
kutokana na imani yake kuwa kuna wakati kuipenda Serikali iliyopo madarakani sio uzalendo.

"Kuna wakati kuipenda serikali iliyopo madarakani sio uzalendo, na kuna wakati kuichukia serikali iliyopo madarakani ni uzalendo. Kuichukia au kuipenda nchi ni tofaouti kabisa na kuichukia au kuipenda serikali".Rev. Peter Msigwa (MP) 2013

0 comments:

Post a Comment