Wednesday, November 20, 2013

WACHINA WAWILI WAKAMATWA NA POLISI BAADA YA KUKUTWA NA KIGANJA CHA MKONO

Jeshil la Polisi linawashilikia raia 2 wa china wa Kiwanda cha Urafiki Plastick
Mabibo DSM baada ya kukutwa na kiganja cha mfanyakazi wao kilichokatwa na mashine wiki iliyopita .

0 comments:

Post a Comment