Rais
wa Manzese ambaye kwa sasa anatamba na Kibao chake cha TEMA MATE
TUWACHAPE Madee wiki hii anatarajia kuzindua Video ya Wimbo wake huo
katika ukumbi wa Club Billicanas siku ya Jumapili ambapo Mtoto Mzuri
Shilole atawasindikiza wakali hao katika uzinduzi wa Kichupa cha Tema
Mate tuwachape.








0 comments:
Post a Comment