Ikiwa
siku moja imeshapita kwa Marehemu Gabriel Mushi ambae amefanya Tukio
la mauaji jana Asubuhi maeneo ya Ilala kabla ya yeye mwenye
kujimaliza kwa
kujipiga Risasi baada ya kuhisi amekamilisha malengo
yake.
Kwa
mujibu wa Habari zilizotolewa na kuthibitishwa na Polisi zilidai kuwa
Marehemu huyo alisababisha Kifo cha mdogo wa Mpenzi wake na
kuwajeruhi wengine.
Lakini
inaonesha wazi kuwa Marehemu alikuwa akitambua kuwa atafanya Tukio
kama hilo au alikuwa akijua wazi kuwa kuna jambo baya anaweza
kulifanya na kuwataka watu wasifikilie tofauti kwani mwenye kujua
ukwelikabla la kufanya tukio hilo
“Najua
mtasema sana ila hakuna anaejua ukweli zaidi yangu mm muhusika na
najua wazi mengi mtawaza na hamtopata majibu yake.... (Remember all
things are possible)”







0 comments:
Post a Comment