“Profesa
muhogooo au muongo,,,''wkt huyu fisad anapiagania kuwadhulumu watz na
watu wa kusini gesi yao ili kuigawa'kikuwadi'kwa wageni
aliwahakikishia wananch kwamba mgao wa umeme utabaki kuwa historia
hapa nchini lkn sasa kiko wap?”
Aliongezea
Afande Selle Kusema kuwa kutokana na Tatizo linalo ikumba Taifa sasa
linapelekea Uchumi wa Taifa na Uchumi wa Mtu mmoja mmoja kudorola
siku hadi siku kutokana tu na usimamizi hafifu wa Rasilimali zetu.
“Nchi
inanuka mgao wa umeme kama kawa huku uchumi wa taifa na raia wa
kawaida ukishuka kwa kasi,Mungu ibariki Tz ye2 dhidi ya hawa maprof
waongo/wa-hongo!,,,”







0 comments:
Post a Comment