Utendaji iliyokutana jana imejirizisha kuwa Kocha Mkuu na Kocha Msaidizi wa Simba Sports Club kuwa uwezo wao ni mdogo na utendaji wao umekuwa ni hafifu hivyo wanapaswa kuachia ngazi.
Mbali
na majanga ya Makocha Kamati kuu pia imemsimamisha Mwenyekiti wake wa
Simba Ismail Aden Rage sababu kubwa kusimamishwa kwa Mwenyekiti huyo
ni kutokana na Mchakato wa Kumuuza Mchezaji Emmanuel Okwi.
Source
:Saleh Jembe






0 comments:
Post a Comment