Monday, November 18, 2013

MFANYABIASHARA AFANYA MAUAJI DAR NA YEYE AJIMALIZA KWA RISASI

Mwanaume mmoja ambaye amefahamika kwa jina Gabriel Munis ambaye ni mfanyabiashara kutoka mwanza amefanya mauaji na kisha mwenyewe kujiuwa
kwa kujipiga Risasi,Tukio hilo lililofanyika katika Maeneo ya Ilala Jjijini Dar es salaam limesababisha Vifo wa watu wawili na Majeruhi ya watu wawili ambao ni Dereva wa Gari ambaye amefahamika kwa jina la Francis Samwel na Christina Nando ambaye ndiye mpenzi wake .

0 comments:

Post a Comment