Masaa
kadhaa yamesalia kwa mkali wa Hip Hop Ney wa Mitego kuionesha jamii
kuwa yeye habahatishi kama ambavyo wengi wamekuwa wakidai kuwa ni
mbahatishaji tu.
Kama
ilivyokuwa imepangwa mkali ambaye amesumbua sana na Kibao chake cha
Salamu zao kesho Tarehe 20 ataachia Kibao kipya kinachokwenda kwa
jina la NAKULA UJANA ambacho kimepikwa katika Studio mbili Tofauti
chini ya Mikono ya Marko Chali na Mr T Touch.
Kwa
mujibu wa Ney amedai lengo kuu la kutoa Wimbo huo ni kuzungumzia
Maisha ya Vijana ya kila katika Jamiii ambayo yanawakuta wengi na
wengi huyafanya.








0 comments:
Post a Comment