Siku
za karibuni kulikuwa na Habari ambayo ilitawala katika mitandao ya
kijamii ikidai kuwa Msanii Norah amepigana na Msanii wa Bongo Fleva
Ray C na
kucharazwa kipigo cha Mbwa Mwizi na Ray C,habari hizo
zilidai kuwa wawili hao waligombana baada ya kukutana Studio na Ray C
kumchana Norah kuwa hajui kuimba Bora aunze Karanga kuliko kuimba.
Mitandao
ilizidi kusema kuwa baada ya Norah kupokea kichapo hicho kutoka kwa
Ray C hakikutosha kwani Ray C alivunja mpaka kioo cha gari ya Norah
na kutimua zake.
Baada
ya uzishi huu kuenea mwanadada Norah amefunguka na kusema kuwa yeye
na Ray C ni Marafiki wakubwa na hawajapigana kama vyanzo mbalimbali8
vya Habari vilivyokuwa vikiripoti.
CHEKI
VIDEO HIII MUONE







0 comments:
Post a Comment