Msanii Masanja
Mkandamizaji LEO kupitia Mtandao wqa kijamii ameonesha kukubali na
kupenda Jitihada zilizofanywa na waandaaji wa Show Ya P Square
ambayo
ilifanyika Siku ya Jumamosi huku ikiwa ikiacha Historia kutokana na
maandalizi mazuri ambayo yalitoa nafasi kwa Mashabiki kupata Burudani
kwa asilimia 100.








0 comments:
Post a Comment