Zikiwa zimepita siku
kadhaa toka kutimuliwa kwa Makocha wa Simba Abdallah Kibadeni na
Jamhuri Kiwhelo Julio Mwenyekiti wa
Simba Ismail Aden Rage
amewarudisha kazini makocha hao.
Rage ametangaza leo kwamba
Kibadeni na Julio wataendelea na kazi yao na si Kocha Logarusic.
“Kweli nimewarudisha Kibadeni na Julio na hawa ndiyo makocha wa
Simba na wataendelea na kazi,”
Source:Champion
Newspaper







0 comments:
Post a Comment