12:18 AM
Wakali
kutoka Nigeria Ambao walionesha uwezo wao wa hali ya juu kucheza na
kuimba jukwanii zaidi ya Masaa Mawili Mfululizo huku wakikonga Nyoyo
za Raia waliohudhuria Tamsha Hilo liliofanyika Uwanja wa LEADERS
Club.
Wakali hao walipokuwa
Nyuma ya Stage walionyesha kushow Love na Lady Jaydee na ku support
Team Anna Konda kama ambavyo unaona.
0 comments:
Post a Comment