Monday, November 25, 2013

DIAMOND PLATNUM ATANGAZA NAFASI YA KAZI

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum amefungua mlango wa ajiri kwa kutangaza Nafasi ya Kazi kupitia Mtando wa Kijamii wa Facebok hivyo mtu
mwenye Sifa hizi anahitajika kujiunga na Wasfiii.
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?
NOTE:-
1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na Kuedit)
3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea...
4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35..
5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote...

Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400

0 comments:

Post a Comment