Friday, November 22, 2013

BAADA YA KUVULIWA NYAZIFA CHADEMA ZITTO KABWE AKARIBISWA CCM

Yakiwa masaa kadha yamepita Toka Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kumvua Nyazifa zake zote Mbunge wa Kigoma Kaskazini na kumpa
siku kumi na nne ajieleze Sababu zitakazomfanya asifutwe kabsa Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo baada ya kukiuka Utaratibu wa Chama.

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh Januari Makamba amefunguka na kumkaribisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kambwe kujiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM),January Makamba amefunguka katika Mtandao wake wa kijamii na kusema kuwa kama Viongozi wa Chadema Hawatambui na kuona dhamani ya Kiongozi hiyo hivyo akaribie CCM.

Kama wenzako hawathamini kazi kubwa uliyofanya kukijenga Chama chenu na kazi unayofanya Bungeni, karibu CCM tuijenge nchi.”

0 comments:

Post a Comment