Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia kutoka kwa marafiki wa karibu wa Juma Kaseja zilisema kuwa Kaseja ameshamalizana na Yanga na kinachosubiriwa ni kuanza kuitumikia timu hiyo katika mzunguko wa pili.
Lakini alipotafutwa Juma Kaseja ili atoe ukweli wa Jambo hilo Naye alifunguka na kusema kuwa hayupo teyari kuzungumiza suala hilo bali alitoa ahadi kuwa kila kitu kitajulikana baadaye.







0 comments:
Post a Comment