Wednesday, November 6, 2013

HUYU NDIYE DJ MAARUFU KAMA 'Rankeem ' ALIYEFARIKI DUNIA LEO

Kwa jina anfahamika kama Rankeem Ramadhan Nyamka aka DJ amefariki Dunia leo Jumatano katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam .
R.I.P "Rankim Ramadhan"

0 comments:

Post a Comment