Sunday, November 3, 2013

HAWA NDIO WASANII WALIOJISHINDANISHA UKUBWA WA MAKALIO YAO.

Mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ na mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse wamefumwa na Paparazi wakijishindanisha ukubwa wa makalio yao wakiwa
wamelala.
 
Tukio hilo limetokea hivi karibuni wakati wakali hao walipokuwa wakifanya moja ya vipindi vya washariki wa Shindano la Vigori.



Jamani mimi ninalo (wowowo) kuliko wewe, ukubwa dawa mimi na wewe wapi kwa wapi Sajent?” alisikika Maimartha.
Source:Global Publisher

0 comments:

Post a Comment